
Picha ya tukio wa jamaa aliyeagiza nyumba ya kontena
Unaambiwa Nyumba hiyo ya Kontena imetumia muda wa miezi mitatu kufika Marekani na ina vyumba viwili, sehemu ya jiko na choo cha ndani.
Pia ameonesha watu njia mbadala ya kumiliki nyumba yako kwa kubana matumizi bila ya kutumia matofali, cement au mchanga.