
Mzee Hiltan Kalugho
Kalugho alirudi Kenya wiki iliyopita na kuambiwa mkewe alifariki mwaka 2007, na watoto wake wawili kati ya saba wamefariki.
Kalugho aliondoka Kenya mwaka 1980 na kumuacha mkewe na watoto saba na kuingia nchini Tanzania kutafuta maisha.