Jumatatu , 23rd Aug , 2021

Roboti sasa zitaweza kutumika kama mawakili kortini kwa kutumia mfumo maalumu unaoitwa ‘artificial intelligence (AI) software systems’ 

Picha ya Roboti

Mfumo huu unatumia program ya kompyuta ambayo inaweza kutunza, kutoa taarifa na kufikiri yenyewe ambapo pia unaonekana kutumiwa sana na wanasheria wengi.

Mfanyabiashara Joshua Browder ameeleza kuwa program ya DoNotPay ndio mwanasheria wa kwanza roboti ambapo linaweza saidia hata kuandaa barua za kisheria na unachotakiwa kufanya ni kuliambia kupitia 'chatbot' tatizo lako ni nini ama unataka nini.