
Nembo ya utambulisho wa michuano ya Olimpiki ya Asia
Taarifa ya OCA imearifu kuwa ratiba na tarehe mpya ya michuano hiyo ya 19 inatarajiwa kutangazwa hivi karibuni.
Michuano ya Asia kwa vijana iliyopangwa kufanyika katika mji wa Shantou huko China mnamo mwezi disemba imeahirishwa pia.
Mji wa Hangzhou upo kilometa 175 kutoka Shaghai ambapo kumewekwa sheria ya vizuizi kutokana na mlipuko wa Corona.