
Katika wachezaji hao, Micho ameamua kuachana na Hamisi Kiiza ambaye msimu huu ameifungia Simba mabao 19 na badala yake amemchukua mshambuliaji kinda Lorenzen Melvyn anayekipiga katika kikosi cha Werder Bremen cha nchini Ujerumani.
Micho ameachana na Kiiza anayeichezea klabu ya Simba SC huku akimuita Emmanuel Okwi ambaye anakipiga nchini Denmark.
Kikosi cha 'The Cranes'
Makipa:
1. Onyango Denis - Mamelodi Sundowns-SA
2. Jamal Salim Magoola (El Merreikh-Sudan)
3.Odongkara Robert (Saint George-Ethiopia)
Mabeki:
4.Iguma Denis (Al Ahed-Lebanon)
5. Isinde Isaac (Saint George-Ethiopia)
6. Jjuko Murushid (Simba SC-Tanzania)
7. Waswa Hassan (Al Shorta-Iraq)
8. Ochaya Joseph (Kcca Fc -Uganda)
Viungo:
9. Azira Mike (Colorado Rapids-USA)
10. Aucho Khalid (Gor Mahia-Kenya)
11. Mawejje Tony (Thottur-Iceland)
12. Oloya Moses (Binh Duong-Vietnam)
13. Kizito Luwagga Wiliam (Feirense-Portugal)
14. Walusimbi Godfrey (Gor Mahia-Kenya)
Mshambuliaji:
15. Miya Farouk (Standard Liege- Belgium)
16. Lorenzen Melvyn (Werder Bremen-Germany)
17. Massa Geoffrey (Bloemfontein Celtics-SA)
18. Kasirye Davis (Rayon Sports-Rwanda)
19. Okwi Emanuel (Sondyerske-Denmark)
20. Sekisambu Erisa (Vipers -Uganda)
21. Lubega Edrisa (Proline -Uganda)