
Gabriel Jesus - Msambuliaji wa Manchester City
Hivyo timu itakayo hitaji hudum aya nyota huyo itawalazimu kufika kiwango hicho kilichowekwa. Hadi sasa vilabu vya Tottenham, Real Madrid, Arsenal na Chelsea vimeonyesha kuvutiwa na mshambuliaji huyo.
(Kiungo wa Brentford Christian Erikssen)
Na mahasimu wao klabu ya Manchester United ilituma watu wao katika mchezo wa Denmark dhidi ya Austria kwa ajili ya kumfatilia kiungo Christian Erikssen ambaye anahitajika na mashetani hao wekundu kwa uhamisho wa bure baada kumaliza mkatab wake na klabu aya Brentford.