Mchezaji wa zamani Taifa Stars afariki dunia

Jumatatu , 17th Jun , 2019

Aliyewahi kuwa mchezaji wa Tanzania Prisons ya Mbeya na Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Said Mtupa amefariki dunia kwa ajali ya piki piki eneo la Iwambi mkoani Mbeya.

Jezi ya Taifa Stars na nembo ya TFF