Ijumaa , 27th Aug , 2021

Cristian Ronaldo (36) ameondoka mazoezini katika klabu yake ya Juventus na amekwisha waaga wachezaji wenzake huku taarifa zikisema kuwa kwa sasa anasubiri ofa kutoka Manchester City.

Picha ya Mwanasoka Cristiano Ronaldo

Ronaldo amewaambia Juventus kuwa anahitaji kuondoka baada ya kucheza Turin kwa takribani misimu mitatu na kushinda mataji kadhaa.

Juventus wao wanataka £30m ili wamuuze nahodha huyo wa Ureno.