Kutoka kushoto ni Rais wa Klabu ya Simba Evance Aveva akiwa na Katibu Mkuu wa Simba Patrick Kahemele
Katibu mkuu wa klabu ya Simba Patrick Kahemele amesema mpaka sasa wapo katika hatua nzuri ya kukamilisha mchakato wa mabadiliko na wanaamini agizo la BMT watalifanyia kazi.
Katika hatua nyingine Patrick Kahemele amesema ameainisha hatua ambazo zitaanza kufanyiwa kazi siku za karibuni, baada ya kumaliza taratibu za awali kwa ajili ya kukamilisha dhana ya mabadiliko ya mfumo wa hisa