Alhamisi , 11th Sep , 2014

Wanafunzi 12, 000 wakosa nafasi za vyuo vikuu, TCU yawapa nafasi ya pili kuchagua kozi ambazo bado ziko wazi na wameshauriwa kutochagua kozi zenye ushindani mwingi maana hii itasababisha wengine kukosa

Kwa wale wanafunzi wa walioomba kwa kupitia njia ya Diploma, wameambiwa waendelee kusubiri ndani ya siku 3 na majibu yao yatatolewa

Nafasi za vyuo Tanzania ni nyingi kuliko wanafunzi waliiomba, hivyo wameshauriwa kuzingatia vigezo kama vinaruhusu na pia wachague kozi zisizo na ushindani mkubwa