Sehemu ya Vurugu nchini Afrika Kusini.
Aidha taarifa hiyo ya serikali imewataka watanzania hao kuwa watulivu na kutojihusisha na vurugu hizo.
Soma taarifa zaidi hapa

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje pamoja na ubalozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini imesema watanzania waishio humo wako salama na hakuna aliyedhurika na vurugu zinazoendelea.
Sehemu ya Vurugu nchini Afrika Kusini.
Aidha taarifa hiyo ya serikali imewataka watanzania hao kuwa watulivu na kutojihusisha na vurugu hizo.
Soma taarifa zaidi hapa