
Nape ametoa kauli hiyo ya serikali ambapo amesema tathimini ya mwisho ilifanyika mwaka 2018 na nyingine inafanyika mwaka huu ikitegemewa kukamilika kati ya mwezi December na Januari
Nape amesema Kwa sasa Hali inaonesha kutokuwepo Kwa mahusiano mazuri kati ya watoa huduma na watumiaji wa Huduma za mawasiliano hivyo serikali imeamua kufanya tathimini ya kina ambayo itakuja na majibu ya gharama gani zitumike kwenye bando usafirishaji wa data,ulipaji wa Kodi uwekezaji na masuala mengi ya kiuendeshaji