
Chama hicho kijulikanacho kama Sapa kimesema kimelazimika kupunguza idadi ya kuku wanaochinjwa huku wakishindwa kuhifadhiwa kwenye majokofu kutokana na kukatika kwa umeme.
Vyombo vya habari nchini humo vimeinukuu Sapa akisema kwamba pia ililazimika kuzalisha vifaranga milioni 10 katika wiki zilizopita.