Tangu utotoni hadi leo miaka 27 ya ndoa

Rapa nguli wa Marekani, Snoop Dogg, ameendelea kuonyesha kuwa mapenzi ya kweli yanaweza kudumu kwa miaka mingi licha ya changamoto za maisha ya umaarufu. Msanii huyo na mke wake, Shante Broadus, walianza safari yao ya mapenzi tangu wakiwa wanafunzi wa shule ya sekondari.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS