Waziri Nchemba aita wawekezaji kutoka Ufaransa

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, akizungumza wakati wa mkutano na Ujumbe wa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka Ufaransa (MEDEF) na Taasisi ya Biashara ya Ufaransa, uliofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa ujumbe huo Bw. Bw. Gerard Wolf.

Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ametoa wito kwa Shirikisho la Wafanyabiashara wa Sekta Binafsi kutoka Ufaransa (MEDEF) na Taasisi ya Biashara ya Ufaransa, kuwekeza nchini katika sekta mbalimbali ikiwemo kilimo cha mafuta ya kula.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS