Polisi Arusha wateketeza ekari 4 za bangi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limefanikiwa kuteteketeza Ekari Nne na nusu za Bhangi, katika  maeneo ya kisimiri juu, kitongoji cha Luwai na Jangwale Katika Halmashauri ya wilaya ya Arumeru Mkoa wa Arusha.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS