Azama baharini akijaribu pozi la Titanic

Mine Dinar (kushoto) na Furkan Ciftci

Katika mji wa Izmit, Uturuki mwanaume aliyetambulika kwa jina la Furkan Ciftci alifariki baada ya kuzama baharini akijabu pozi la kwenye filamu ya Titanic kwenye meli akiwa na mpenzi wake Mine Dinar.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS