Jeshi la zimamoto wabaini kasoro kwenye mabasi
uelekea siku ya zimamoto kitaifa Mei 19, 2022 Jeshi la zimamoto na uokoaji Mkoa wa kuzima moto Temeke likiongozwa na Mrakibu msaidizi Michael Bachubira limefanya ukaguzi wa vifaa vya kuzimia moto katika kituo cha Mabasi yaendayo mikoa ya Kusini cha Mbagala rangi tatu