Warriors yavunja rekodi ya Mavericks
Dallas Mavericks watakuwa na kibarua kizito kwenye mchezi wa marejeano dhidi ya Golden State Warriors katika dimba la Chase Center siku ya Jumamosi baada ya kupoteza mchezo wa kwanza kati ya saba inayotarajiwa kuchezwa kwenye fainali ya Kanda Magharibi.