Ubingwa wa EPL kusubiri tena hadi Jumapili
Ubingwa wa ligi kuu ya England EPL sasa utalazimika kusubiri hadi siku ya jumapili katika michezo ya mwisho ya kuhitimisha ligi hiyo, baada ya klabu ya Liverpool kupata ushindi wa mgaoli 2 kwa 1 dhidi ya Southampton usiku wa jana katika dimba la St. Marys.