Wasiotaka kucheza Arsenal wabaki nyumbani- Xhaka
Nahodha wa klabu ya Arsenal Granit Xhaka amewajia juu wachezaji wa kikosi hicho baada ya kufungwa na Newcastle United mabao 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. Akiwataka wachezaji ambao hawapo tayari kujitoa kuipambania klabu wabaki nyumbani au wasicheze kabisa.