Spurs sasa wanahitaji alama moja kufuzu UEFA
Baada ya klabu ya Arsenal kupoteza mchezo wake wa jana usiku dhidi ya Newcastle United kwa magoli mawili kwa sifuri, Wamewapa nafasi nzuri Tottenham na Arsenal kujiweka katika wakati mgumu kuwania kumaliza katika nafasi nne za juu katika msimamo wa ligi kuu ya England msimu huu.