Odinga amteua Martha Karua kuwa mgombea mwenza Mgombea Urais nchini Kenya kupitia muungano wa Azimio Raila Odinga amemtangaza Martha Karua kuwa mgombea mwenza katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika Agosti 9 mwaka huu Read more about Odinga amteua Martha Karua kuwa mgombea mwenza