Mahakama yatoa uamuzi kesi ya kina Mdee
Mahakama kuu kanda ya Dar es Salaam imeridhia wabunge 19 wa viti maalum waliovuliwa uanachama wao na CHADEMA kuendelea na ubunge wao mpaka maombi ya kibali cha kufungua kesi ya kupinga uamuzi wa kamati kuu ya CHADEMA ulioridhiwa na wajumbe wa baraza kuu utakaposikilizwa na kutokewa uamuzi.