Boston Celtics yaivua Milwaukee Backs, NBA
Michezo ya nusu fainali ya kanda ya Mashariki na magharibi ya ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani NBA imekamilika usiku wa kuamkia leo na kushuhudia timu za Boston Celtics na Dallas Mavericks zikifuzu hatua ya fainali.