"Mimi bado binti mdogo, nipo single" - Anjella

Picha ya msanii Anjella

First Lady wa Konde Gang Music Worldwide Anjella Tz anasema yeye bado ni binti mdogo ndio maana yupo 'Single' kwa sababu hawezi ku-control mapenzi na kazi kwa hiyo hawezi kujihusisha na mambo hayo

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS