Album mpya ya Kendrick Lamar Kendrick Lamar na familia yake kwenye cover ya album Album mpya ya 'Mr. Morale & The Big Steppers' ya Kendrick Lamar imetoka baada ya kuwa kimya kwa miaka mitano tangu alipoachia album yake ya mwisho ya 'Damn'. Read more about Album mpya ya Kendrick Lamar