KMC FC kuwavaa Mtibwa Sugar kesho uwanja wa Uhuru

kikosi cha KMC FC.

Timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC FC kesho itakuwa nyumbani ikimkaribisha Mtibwa Sugar katika Dimba la Uhuru Jijini Dar es Salaam kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya NBC soka Tanzania bara utakaopigwa saa nane kamili mchana.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS