Mgomo wa Ndege Nigeria Kutokana na kupanda kwa bei ya mafuta katika nchi nyingi, Muungano wa mashirika ya ndege nchini Nigeria umesema utasimamisha safari zote za ndege kuanzia kesho Jumatatu Mei 9/2022. Read more about Mgomo wa Ndege Nigeria