Huyu mtoto wako Chinga - Harmonize Katikati picha ya mwanamke na mtoto anayesemekana ni wa Ibraah. Baada ya picha za mtoto na mwanamke anayedai amezaa na Ibraah kusambaa mtandaoni, Harmonize amemtaka Ibrah amuone mtoto huyo ikiwezekana akafanye na vipimo. Read more about Huyu mtoto wako Chinga - Harmonize