Ushauri wa BASATA kwa Diamond kufungiwa wimbo wake

Kaimu Katibu Mtendaji BASATA Matiko Mniko kushoto, kulia ni Diamond Platnumz na Zuchu

Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) Matiko Mniko amemshauri Diamond Platnumz na Zuchu kufanya marekebisho ya video yao ya Mtasubiri ambayo imefungiwa na TCRA na BASATA.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS