Waziri Mkuu ataka umakini fedha za miradi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma kuzindua Mradi wa USAID AFYA YANGU Mei 6, 2022. Wengine kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima, Balozi wa Marekani nchini Dkt. Donald Wright na kulia ni Mkurugenzi Mkazi wa USAID, Kate Somvongsiri

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza rasilimali zote zinazotolewa kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali ya afya zitumike kwa uangalifu na uaminifu ili kuhakikisha malengo yaliyokusudiwa yanatekelezwa na kuleta tija kwa wananchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS