Sabaya na wenzake waachiwa huru Aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, na wenzake wawili baada ya kubaini kulikuwa na mapungufu katika mwenendo mzima wa kesi. Read more about Sabaya na wenzake waachiwa huru