Waziri Mchengerwa afanya mazungumzo na wawekezaji
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo. Mhe, Mohamed Mchengerwa amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya wawekezaji wa kujenga miundombinu ya michezo ambao wameonyesha nia ya kujenga miundombinu ya kisasa ya michezo hapa nchini.