Dr Mengi alitupatia jengo sasa hatulipi kodi -TWCC
Chama cha Wafanya biashara wanawake Tanzania TWCC kimesema kimewakuza wafanyabiashara wengi sana wanawake kutokana na mchango wa aliyekuwa mwenyekiti wa makampuni ya IPP Dr Reginald Mengi ikiwemo kuwapatia jengo ambalo hadi sasa ndipo makao makuu ya Chama hicho.