Serengeti Girls Tayari kuwakabili Burundi
Timu ya taifa ya Tanzania ya wasichana umri chini ya miaka 17 Serengeti girls jumapili hii tarehe 1 mwezi wa tano 2022 wanatarajia kushuka dimbani katika mchezo wa marudiano dhidi ya timu wa wasichana umri chini ya miak 17 ya burundi.