China yaanza mipango ya kuinua uchumi wake
Bodi ya juu ya maamuzi ya chama cha kikomunist nchini China, imesema kuwa serikali ya nchi hiyo itachukua hatua ili kuuinua uchumi wa nchi hiyo kutokana na tishio la janga la Uviko - 19 na vita vinavyoendelea nchini ukraine kutishia ukuaji wa uchumi wa nchi hiyo .