Mo Salah mchezaji bora wa waandishi wa habari 2022

Salah kafunga mabao 30 msimu huu kwenye michuano yote katika michezo 40

Mshambuliaji wa Liverpool MoMohamed Salah amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwaka 2022. Nchini England na Chamba cha waandishi wa habari za michezo England (FWA). Nae Mshambuliaji wa timu ya wanawake ya Chelsea Sam Kerr ameshinda tuzo hiyo upande wa wanawake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS