"Kuna wanangu walisema nimejigeuza Rambo" - Rais

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba wakati akiwa nchini Marekani kwenye uzinduzi wa filamu ya The Royal Tour, aliona kwenye mitandao watu wakimsema kwamba badala ya kufanya kazi yeye amejigeuza kuwa Rambo anaigiza.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS