Bei ya mafuta nchini kushuka Juni Mosi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba kuanzia JUni Mosi mwaka huu Watanzania wataanza kupata unafuu katika bei ya mafuta. Read more about Bei ya mafuta nchini kushuka Juni Mosi