TAMISEMI yatangaza ajira mpya 17,412 Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa, Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa, amewataka Watanzania wenye sifa waombe nafasi za kazi kuanzia leo, baada ya serikali kutangaza nafasi za ajira 17,412, kwa kada ya elimu na afya. Read more about TAMISEMI yatangaza ajira mpya 17,412