Yanga tupo tayari kuondoka na alama tatu kikosi cha Yanga. Afisa Habari wa Yanga, Haji Manara amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zote watakazocheza na kikubwa wanahitaji pointi tatu ambazo kwao ni muhimu . Read more about Yanga tupo tayari kuondoka na alama tatu