Timu yaingia kambini kujiwinda na Orlando
Kikosi cha Simba kimeingia kambini rasmi baada ya mazoezi ya asubuhi tayari kwa maandalizi ya mchezo wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates utakaopigwa nchini Afrika Kusini wikiendi hii.