Rais atoa neno kwa wanaodai viongozi hawana baraka

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema kwamba ameshaanza kusikia minong'ono ya watu wakidai viongozi waliopo hawana baraka ndiyo maana maisha yamekuwa magumu na kusema hiyo ni hali ya ulimwengu inavyokwenda.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS