Mzee Yussuf kuacha tena mziki 

Picha ya Mzee Yussuf

Mkali wa Taarab Mzee Yussuf amesema kuna uwezekano wa kuacha tena mziki baada ya miaka miwili au mitatu ijayo kwa sababu atakuwa mtu mzima ila kwa sasa anataka kufaidi pesa za Digital.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS