Mashabiki wajeruhiwa kwenye vurugu uwanjani

(Mashabiki waliovamia uwanja na kuanzisha vurugu)

Takriban Mashabiki 22 wamejeruhiwa kwenye mchezo wa ligi kuu nchini Mexico (Liga MX) katika mchezo baina ya klabu ya Queretaro dhidi ya klabu ya Atlas kwenye uwanja wa La Corregidora Jumamosi ya Machi 05, 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS