Opah Clement kufanya majaribio Uturuki
Mshambuliaji hatari wa timu ya Wanawake ya Simba Princess, Opah Clement anataraji kuanza majaribio ya mwezi mmoja kuanzia mwezi huu Machi 2022 kwenye klabu ya Kayserispor Girl ya nchini Uturuki na kama akifanikiwa basi atajiunga na wakali hao wa Uturuki.

