Anjella aingia kwenye 18 za Moni Centrozone Picha ya Moni Centrozone na Anjella Kwa mara ya kwanza rapa wa Majengo Sokonu Moni Centrozone 'Malume ' huenda akaachia ngoma yake ya kwanza akiwa amefanya na msanii wa kike ambaye ni Anjella Tz kutoka lebo ya Konde Gang Music Worldwide. Read more about Anjella aingia kwenye 18 za Moni Centrozone