Wanaotumia bodaboda kupora wanatafutwa

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini , IGP Simon Sirro

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, ameagiza kufanyika kwa operesheni za kuwasaka na kuwakamata wahalifu wanaotumia pikipiki kupora pamoja na wahalifu wanaojihusisha na uvunjaji na kuiba mali za wananchi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS