Chelsea yatinga fainali, Spurs hoi Carabao Cup
Matajiri wa Jiji la London, Klabu ya Chelsea imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Carabao msimu wa mwaka 2021-22 baada ya kuifunga Tottenham Hotspurs 1-0 usiku wa jana kwenye mchezo wa mkondo wapili wa Nusu Fainali.